Shirika la Masoko ya Kariakoo (SMK) chini ya Ofisi ya Rais, TAMISEMI kutofanyiwa ukaguzi na CAG ni mzaha

sikuwahi kujua kama Soko la Kariakoo lina sheria yake
Ata mimi sikujua lakini si jambo la kushangaza kwenye nchi ambayo karibu kila taasisi imewekewa sheria.

Ila hiyo sheria la soko la Kariakoo sidhani kama ina mantiki leo katika Tanzania ya soko huria, if anything ni for administration purposes solely kama ilivyo kwenye taasisi zingine za serikali.

Hivyo hizo sheria have nothing to do with finance. Sheria l za finance ni universal na zinatungwa na wizara ya fedha ambazo kila mtu anatakiwa azifuate in preparing their financial statement or on some aspects auditing.

There is always the main finance act (which is detailed), professional have to comply with this main law in addition to industry practice regulations as well as being aware on accounting changes which come with new government budget changes each year.
 
kama unataka tuamini hiki ulichoandika unadhani CAG kwanini hayo hakuyasema , anaficha nini ?
 
kama unataka tuamini hiki ulichoandika unadhani CAG kwanini hayo hakuyasema , anaficha nini ?
Angekuwa ajalikagua asingeliongelea au angesema awajakagua.

Kutokuwa na maoni ni kwamba wamekaguwa.

If anything shida hapa ni jargon language kutafsiriwa vingine by a layman.

Kazi ya audit ni kutoa maoni (opinion). Na kuna maoni ya aina tatu:
Kuridhisha (anadhani hesabu zao zipo sawa)

Kutokuwa kuwa na maoni (amekutana na vitu kadhaa ambavyo vina utata kwa namna moja au nyingine) awezi vipinga au kuvikubali.

Mashaka (kuna ushahidi amekosa, kuna procedure zimekiukwa kwa makusudi na maelezo yake ayajitoshelezi).

Nonetheless mwisho wa siku auditing conclusion yoyote ni opinion tu (you can’t bank on it as if it’s 100% fact).
 
KWa kuongezea ni kuwa inability to form an opinion is due to the absence of financial records or insufficient cooperation from management, the auditor issues a disclaimer of opinion.
 
haya alitakiwa kuyasema hadharani , vinginevyo maswali hayotokwisha
 
Leo ndio nimejua kariakoo ina shirika ambalo ni la serikali . Ipo kama after sikuwa kujua mbali na kupigwq sana hata serikali inq shea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…