A view to a kill
JF-Expert Member
- Jun 9, 2015
- 2,213
- 1,272
Za mamako?Hii habari njema sana.
Mipesa Wazungu wanatoa bure CCM wanaziita za Maza.
😭😭😭😭 Kwahiyo MDH yangu ndiyo bye bye daahTarehe 30 Juni 2025 ndiyo ilikuwa siku rasmi ya mwisho ya USAID kama shirika huru. Imetangazwa leo kuwa taratibu za kuondoa USAID zimetimia, na sasa kazi zake zimewekwa chini ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kama sehemu ya mradi mpya unaoitwa “America First” .
Sasa ile njanjo ya grid iliyozinduliwa majuzi itabidi tuinunue ,hatutoipata bure,
Utakufa kabla hujatoa hizo rambirambi ulizoandaa, amini Mungu.Ngoja niandae fungu la rambirambi kabisaa
Just imagine kila afsa anataka aendeshwe kwenye L300... Yaani gari la Gavana wa New York inalingana au kuzidiwa thamani na la DC wa Tanzania nchi ya Dunia ya 3 ambayo mpaka leo kuna watoto wengine wanasomea sakafuni kama si kwenye magogo...Serikali itabeba mzigo wa kununua dawa,vifaa tiba na chanjo pamoja na kugharamia vituo vya tafiti mbalimbali uwezo huo inao. Kama haiwezekani watalazimika kufanya mikataba ya Chief Mangungo.
Huwezi kumsaidia mtu halafu yeye ananunua LC 300 kama ananunua baiskeli.
USAID.. Pigo kabisa, kwa waliokuwa wameajiliwa hukoTarehe 30 Juni 2025 ndiyo ilikuwa siku rasmi ya mwisho ya USAID kama shirika huru. Imetangazwa leo kuwa taratibu za kuondoa USAID zimetimia, na sasa kazi zake zimewekwa chini ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kama sehemu ya mradi mpya unaoitwa “America First” .
Sasa ile njanjo ya grid iliyozinduliwa majuzi itabidi tuinunue ,hatutoipata bure,
Simba walizifurahiiia mwisho wa siku wakalazimishwa kucheza taka usitake.Hii habari njema sana.
Mipesa Wazungu wanatoa bure CCM wanaziita za Maza.
Serikali sikivu inajiweza ....Tarehe 30 Juni 2025 ndiyo ilikuwa siku rasmi ya mwisho ya USAID kama shirika huru. Imetangazwa leo kuwa taratibu za kuondoa USAID zimetimia, na sasa kazi zake zimewekwa chini ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kama sehemu ya mradi mpya unaoitwa “America First” .
Sasa ile njanjo ya grid iliyozinduliwa majuzi itabidi tuinunue ,hatutoipata bure,