Shirika la misaada la wamarekani (USAID) limefutwa rasmi leo

Sis sasa hivi tunafanya vizuri kiuchumi acha kututisha...
 
Wale wenye miwaya waanze kujipanga kwenda pharmacy kujinunulia ARV zile za bure zinaelekea ukingoni
 
Tena hata mikopo wasitoe
Kuna Waziri mstaafu alilalamika eti haiwezekani kukata misaada hii
Yaani kama zetu vile

Ukiwa Ombaomba siku ukinyimwa unakasirika, we Angalia hata maisha ya kawaida tu
 
Mh mbona magari yao nimeyaona jana kina epiki na afya yangu yanazurula mtaani huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…