KERO Shirika la ndege la Air Tanzania lijitafakari, haliwatendei haki wateja wake

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kuna kundi la nyumbu linasema mitano Tena
 
Hahaha CCM wameshinda serikali za mitaa 99.9% utaenda kushitaki wapi?

Nchi yao hii hata usilamu watasema kazi yetu ni kuilamu serikali tu, kwamba hakuna jema tunaloliona.

Wanapenda Sifa, ungeanza kwa kumsifia Mama, Ukasifia ndege, Ukasifia rangi ya ndege, Ukasifia uwanja, Sifia air hostess, na Marubani, halafu mwiisho ndio ungesema kwa ufupi tu kwamba "Jana ndege ilichelewa kuondoka". Usiongeze wala kupunguza.

Ukiwaaambia ukweli nchi hii ni kulalamika.
 
Kwamba mitano tena?😂😂
 
Nyie wenye connecting flights wakabeni ATCL wawalipe Gharama za hoteli
 
Nawazaga jiwe alikua anaua mashirika mengine yeyw adominate afu mambo yenyewe ndo haya.
 
Marekani nimewapenda sana kuikataa ile jinsia,jwenda white house
 
Unaondoka Mwanza kwa ndege leo unafika Nairobi kesho, yaani bora ungetembea kwa miguu tu.
 
Pole Sana Mkuu.
 
Ndege za ccm hizo, wanajiamulia muda gani zipae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…