N ntuchake JF-Expert Member Joined Apr 17, 2024 Posts 408 Reaction score 1,549 Dec 2, 2024 #41 Ila mnaotumia hili shirika mna moyo sana!! Licha ya malalamiko yanayotolewa kila leo bado mna nguvu ya kununua tiketi katika shirika hilo! Mkichelewa mnakuja kulalamika humu akili gani hii!!
Ila mnaotumia hili shirika mna moyo sana!! Licha ya malalamiko yanayotolewa kila leo bado mna nguvu ya kununua tiketi katika shirika hilo! Mkichelewa mnakuja kulalamika humu akili gani hii!!
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Mar 8, 2025 #42 Tumwesige senior said: Pole sana Click to expand...
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 9, 2025 #43 Mambo ya serikali ndivyo yalivyo... Cc: Mahondaw