nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
la bilioni 2+ huku akiombwa trilioni.... !!!!JIWE anapewa gawio huku, waje wajifunze.
ATCL imekufa ikiwa imeacha madeni, imefufuliwa kwa kununuliwa ndege mpya kadhaa. Ripoti ilotolewa inaonesha ATCL imepunguza deni. Maanake ATCL ina operate kwa faida, mana kama ingekuwa inapata hasara, deni lingeongezeka.
Ukiweza kulipa madeni yako na biashara yako isiathirike basi maana yake unapata faida. Vyenginevyo deni lingeongezeka. Wewe wamekupa mchanganuo wa operational cost unipe niuone?Umewahi pewa mchanganuo wa operational cost ukajua na faida yao?
Ukiweza kulipa madeni yako na biashara yako isiathirike basi maana yake unapata faida. Vyenginevyo deni lingeongezeka. Wewe wamekupa mchanganuo wa operational cost unipe niuone?
You a Bullsh.it person!Pathetic fool!