Mkuu samahani!
Hivi hapo ulipo kweli kichwa umetembea nacho?au umeacha kabatini?how unazungumzia nuclear bombs kama unazungumzia kiporo cha wali maharage?
Mtakatifu Anno II ninacho ila kimejaa hekima sana.Mkuu samahani!
Hivi hapo ulipo kweli kichwa umetembea nacho?au umeacha kabatini?how unazungumzia nuclear bombs kama unazungumzia kiporo cha wali maharage?
Afu wao hawaitwi madiktetaObama Na Bushi Wameua Mamilion Ya Watu Duniani
Nimecheka sana yaani, hawa timu Putin wa kwa Mpalange sijui wamejawa mahaba kama misukule vile.
Unakuta mtu anashangaa kwanini Putin amechelewa kutumia nyuklia kukamilisha shughuli dhidi ya Ukraine.
Putin kanasa kwenye mtego, alisubiriwa miaka mingi sana na ndio keshaingia mazima mazima.
Taifa lake linajitafuna lenyewe bila kupigwa na mtu, hapo alipo hana sababu za kutumia Nyuklia ila anaendelea kuishiwa
Kwa hiyo unafungamana na madikteta uchwara?Obama Na Bushi Wameua Mamilion Ya Watu Duniani
Putin hajaanguka badoKuanguka kwa PUTIN ni habari nzuri kwa madikteta wote duniani waliozoe kuiba kura na kushidnda kwa 100%# Muacheni Mungu aitwe Mungu
Sasa kwa mfano akishinda vita akaamuwa Zelensky- Je ataaendeshaje nchi wakati katendgwa katika nyanja zote mpaka michezo?Putin hajaanguka bado
Wataunda umoja wao China, Russia, North Korea na baadhi ya nchi za Kiarabu bila kusahau Nomadic Countries...Sasa kwa mfano akishinda vita akaamuwa Zelensky- Je ataaendeshaje nchi wakati katendgwa katika nyanja zote mpaka michezo?
Hongera kwa umoja wao!Wataunda umoja wao China, Russia, North Korea na baadhi ya nchi za Kiarabu bila kusahau Nomadic Countries...
unafikiri watu wote wanampenda mmarekani ni vile walikuwa hawana choice