Shirika la ndege lipi lina nauli nafuu zaidi kutoka Dar Es Salaam kwenda New York,Boston au Washington DC

mfianchi

Platinum Member
Joined
Jul 1, 2009
Posts
11,904
Reaction score
8,371
Wapendwa kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza ,nauliza ni shirika lipi la ndege lina bei ya nauli nafuu zaidi kwa usafiri wa ndege kutoka jiji la Dar Es Salaam,Tanzania na kwenda moja kwa moja katika majiji ya New York au Boston au Washington DC na je nauli inarange katika USD ngapi kwa safari ya kwenda na kurudi. Ni hilo tu wapendwa.
 
Mkuu cheki na expedia au Kayak mpaka JFK unaweza kwenda kwa dollar 700
 
Nijuavyo mimi, shirika la bei nafuu ni Etihad Airways lakini kinachofanya gharama za ndege ziwe juu au chini ni:-

1. Kuwahi kukata tiketi mapema hupunguza nauli

2. Kuchelewa kukata tiketi husababisha nauli iwe juu.

3. Msimu ambao kuna abiria wengi husababisha nauli ziwe juu na msimu ambao siyo season ya abiria wengi husababisha nauli ya ndege ipungue.


Nadhani utakuwa umenielewa ndugu mtoa mada.

Ahsante sana
 
Nashukuru sana ndugu yangu
 
Chwki na ET ingawa mara ya mwisho nilitumia Etihad
 
Cheapest ni Qatar Aiways ,next cheap is Ethiopian . Ila hakikisha unakata angalau miezi 2-3 kabla
 
Kumbe tuliopanda midege mikubwa tuko wengi humu.
JF iko mawinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…