Shirika la ndege nzuri (gharama) kwa trip y Dar to Dubai

Shirika la ndege nzuri (gharama) kwa trip y Dar to Dubai

BRB

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
342
Reaction score
818
Salam wadau.
Naomba kufaham Shirika la ndege lenye bei nafuu kwa trip ya Dar es Salaam kwenda Dubai. Shirika hilo likiwa na huduma ya VISA itapendeza zaidi.
Naomba kuwasilisha wadau
 
Ethopia na Fly Dubai ndio cheapest. ATCL sio shirika la kuaminika kwa chochote
 
  • Thanks
Reactions: BRB
Salam wadau.
Naomba kufaham Shirika la ndege lenye bei nafuu kwa trip ya Dar es Salaam kwenda Dubai. Shirika hilo likiwa na huduma ya VISA itapendeza zaidi.
Naomba kuwasilisha wadau

Visa tafuta ma agent wa visa...

Tiketi kata mashirika waliyokutajia wadau wengine hapo juu...
 
ATCL is the best, price yao rafiki na huduma nzuri sana na uhakika, try uone, usisikilize watu humu wengine hata ndege hawajasafiri nje ya nchi for years, nisikilize mimi, chagua ATCL alafu uje utoe ushuhuda humu.
 
Ethopia na Fly Dubai ndio cheapest. ATCL sio shirika la kuaminika kwa chochote
Yes huduma zinaweza zisifikie Kwa wenzetu but wenzetu walianza km sisi mpk wakafikia huko,tupende vyetu ndugu tunajua sikila kitu kipo sawa lkn tuanze na vyetu mengine yafuate
 
Yes huduma zinaweza zisifikie Kwa wenzetu but wenzetu walianza km sisi mpk wakafikia huko,tupende vyetu ndugu tunajua sikila kitu kipo sawa lkn tuanze na vyetu mengine yafuate

Tatizo letu kubwa ni poor management, ATCL na treni ya umeme vyote vitakufa kama TTCL, wasio wazalendo ni hao wanaozisimamia hii miradi zetu.
 
Back
Top Bottom