hawa jamaa wamepelekwa MAPUMZIKO na FASTJETO walikuwa wanaruka DAR-ARUSHA kwa bei za kitalii sasa Mnyama FAstjeto yeye na bei zake za kizalendo akakomba abiria wote
Ndege yao ipo GROUNDED kitambo sidhani hata kama walioperate zaidi ya Mwezi mmoja. Kwa sasa mbele ya FASTJET inabidi ujipange haswaaa. PW na uzoefu wao wamekaa itakuwa hao jamaa wa SAFARI PLUS?
Biashara watu wengi wanataka kukomoa wateja na kupata return on investment in one month ,wengi wao strategic management ni sifuri sana .na uwezo wa ku control expenses pia ni bure.
PW wao walichukuliwa na Kenya Airways ndo iliwaua kwa kuwapa ndege za zamani zenye high fuel consumption per mile .SO ndo wajinga waliwao
Mkuu Sethshalom umenena yaani watu hawana STRATEGIC PLAN kabisa hivi hii jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) yenye watu zaidi ya 120 Milioni kweli unakosaje Bizness kwenye Aviation industry?
tumebaki kutegemea walanguzi KQ/PW na hawa Rwandair? FLIGHTLINK njoon na Budget Airline za maana