Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Umefika wakati sasa, shughuli zote za uagizaji wa vifurushi na mizigo zikafanywa na shirika letu la Posta, pekee, pamoja na makampuni ambayo yatakuwa yamesajiliwa rasmi nchini Tanzania katika kusaidiana na shirika hilo kwa vibali maalumu,
- Umuhimu wa suala hili ni kwamba serekali yetu tukufu chini ya mama Samia Suluhu hassan itaweza kukusanya kodi zake kikamilifu bila janja janja /
SIO VIBAYA KUPATA ALIBABA YETU YA KITANZANIA,
Faida!
° bima za vifurushi(vinavyo agizwa)
°Kodi stahiki (tra)
°money transfer fee (Banker)
°delivery service fee (ttcl)
°Storage fee (ttcl)
°Out source fee (ttcl)
°& Etc!
POSTA KIHISTORIA NI SHIRIKA AMBALO LINAAMINIKA SANA, HIVYO USALAMA UTAKUWA 100%, ISITOSHE LINA MATAWI KOTE TANZANIA BARA NA VISIWANI.
-HAKUNA UBAYA KU MONOPOLISE UAGIZAJI WA VIFURUSHI NJE TUKALIPA SHIRIKA HILI.
-SIO VIBAYA POSTA WAKAWA KARIBU NA CARGO FLIGHT YETU KAZI IKANOGA!