Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
Nafikiri kuna mikataba waliingia na huyo USA sasa kuitoka sidhani kama ni rahisi maana haw wakubwa wana mambo yao wanayajua wana gawana wanavyo jua wenyewe sisi tunabakia kukisia tu.So ulinzi wa USA kumbe ni utapeli it was a scumm Aisee USA kawatapeli Mataifa mengi sana 🤣🤣🤣
So baada ya hii vita kuisha huko middle east still wataendelea kumpa USA tenda ya kuwalinda !?
🤣 Iran kaja kufunua mambo mengi sana tuliyofichwa
So waendelee tu kukubali kulindwa na USA licha ya kuwa mifumo yake ya ulinzi ni collapse!?Nafikiri kuna mikataba waliingia na huyo USA sasa kuitoka sidhani kama ni rahisi maana haw wakubwa wana mambo yao wanayajua wana gawana wanavyo jua wenyewe sisi tunabakia kukisia tu.
Shida ni sisi tunaona hivyo je hao wakubwa wanaona haifai? Tuombe Mungu vita iishe mkuu haya mengine yapo nnje ya uwezo wetu hasa ya makubaliano yao binafsi.So waendelee tu kukubali kulindwa na USA licha ya kuwa mifumo yake ya ulinzi ni collapse!?
Akili zimewarudia kwasasa.🤠Hao jamaa si wanalindwa na USA. THAAD zipo hapo Middle East, hofu yao ni wapi?.
Bado hadi wajue kuwa Netanyau na Trump ndio magaidi wakuu.Shirika la ndege la Qatar Airways limehamisha ndege zaidi ya 20 kuelekea katika uwanja wa ndege wa Teruel nchini Hispania mashariki kwa ajili ya kuhifadhi.
Hatua hiyo inatokana na kuongezeka kwa mivutano ya kikanda inayohusisha Irani ambayo imeweka kwenye hatari anga ya Mashariki ya Kati na kufanya shirika la ndege kufanya kazi kwa ratiba iliyopunguzwa.
Ndege hizo zilizohifadhiwa ni pamoja na Airbus A380 Superjumbo, Airbus A350, Airbus A330, na Boeing 787 Dreamliner. Ndege hizo zilihamishwa hadi uwanja wa ndege wa mji wa Teruel ambao una uwezo wa kuhifadhi hadi ndege 120 na hali ya hewa kavu ambayo inaruhusu uhifadhi wa ndege wa muda mrefu.
Sababu za uhifadhi huo ni kulinda mali zenye thamani, kudhibiti gharama, na kupunguza shughuli za uendeshaji.
Qatar Airways imepunguza idadi ya safari za ndege kutoka Doha kutoka takriban safari 135 kwa siku hadi safari 40 kwa wiki.
Uhamisho huo unaonyesha athari za mivutano ya kikanda kwenye sekta ya usafiri wa anga na hatua zinazochukuliwa na mashirika ya ndege kulinda mali zao.
Chanzo Na : Aviation media
Tumuulize ngara23Hao jamaa si wanalindwa na USA. THAAD zipo hapo Middle East, hofu yao ni wapi?.
Iran Wana akili sana,walianza kwanza kupiga bezi zote za USA KWENY IZO Nchi za Gulf! na kupiga pia kwenye Kila maslai ya america yalipo kwenye izo Nchi!So ulinzi wa USA kumbe ni utapeli it was a scumm Aisee USA kawatapeli Mataifa mengi sana 🤣🤣🤣
So baada ya hii vita kuisha huko middle east still wataendelea kumpa USA tenda ya kuwalinda !?
🤣 Iran kaja kufunua mambo mengi sana tuliyofichwa