Shirika la Reli Tanzania

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
35,771
Reaction score
4,065
Baadhi ya nyumba za lililokuwa Shirika la Reli Tanzania, kwa sasa TRL katika stesheni ya Mikumi. Watumishi wanaendelea kuishi kwenye nyumba hizi. Picha na habari toka kwenye blogu ya kaka Beda wa Lukwangule Ent. Ama kweli maisha bora kwa kila MTanzania yanakuja, tuendelee kuvuta subira kwani mambo mazuri hayataki haraka.

 
Sasa hapo reli iko wapi au ina magurudumu ya tairi katika hiyo barabara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…