Shirika la Reli(TRC) limegoma kushiriki wiki ya huduma kwa mteja.

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
24,523
Reaction score
30,084
Kumekuwa na malalamiko na tuhuma kuwa Shirika la Reli limefuta safari zake za SGR saa 3na asubuhi, lakini katika hali ya dharau shirika limegoma kujibu au kutoa ufafanuzi kuhusu tuhuma hizo! Sasa wateja watapata wapi jibu au wamtake waziri wa uchukuzi ajibu kwa niaba ya shirika?
 
Sio kweli mbona ipo hio ruti. Labda wafikirie ahadi ya kituo pale ihumwa. Kwa ajili ya watu wanaowahi huduma za serikal mtumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…