shirika la reli wagoma

mstahiki

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2007
Posts
308
Reaction score
7
"Abiria watarajiwa wakiangalia ratiba ya treni ya reli ya kati leo ambapo baada ya treni la bara kuingia, la kutoka dar kwenda mwisho wa reli halikuondoka na badala yake wameahidiwa litaondoka kesho saa kumi. redio mbao zinasema hakiondoki kitu hapo hiyo kesho hadi kieleweke maana jamaa wameshagoma na wanasubiri waziri kesho aje aongee kwa herufi kubwa kwani wana madai kibao hayajatekelezwa na tajiri wao"


Source:michuzi
 
Safi sana, CCM wanamuona mhindi kama mme wao. Kawaoa na atawapa mimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…