mbona mtoto pwenda alivamia kituo cha tv? Azam wameonesha TL akiomba michango ina maana hana alichoongea zaid ya michango? Tena wameonesha jukwaa tu. Kisha wakamuonesha polepole dk kibao, wamefanya vizur kuwatimua wanafik, Mbowe kesho timua AzamUkitaka kujua ni tatizo wangeguswa ata wale jamaa wa CPJ waliompa Melo tuzo ungewasikia.
Uwezi tishia usalama wa waandishi wa habari ndio maana ata katikati ya vita ukiuwa mwandishi wa habari hakuna atakae kuunga mkono.
Kanuni zinaaply kwa CHADEMA tu sio? Mbona jiwe huwa hadi anatukana watu wapumbavu na kupiga mashangazi lakini sauti haikatwi?Kanuni za uandishi wa habari unazijua?
Tibiisii, chaneliten na staatiivii ni miongoni mwa media hawajitambui wao ni nani na wanapaswa kufanya nini...
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake katika mkutano wao wa kuzindua Kampeni za Mgombea wao wa Urais katika viwanja vya Zakheim, Mbagala Jijini Dar es Salaam, jioni hii.
TBC1 na TBC Taifa kama chaneli za umma zilikuwa zinarusha matangazo ya moja kwa moja kwenye uzinduzi huo kwa mujibu wa sheria na miongozo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Hata hivyo, kwa mujibu wa mwongozo wa Tume wa mwaka 2020, (kifungu e na j), kanuni za maadili ya tasnia ya habari; vyombo vya utangazaji vya umma pia vinao wajibu wa kuhakikisha maudhui yanayorushwa hewani yanazingatia maadili ya taaluma na ya jamii.
Kitendo cha uongozi wa CHADEMA kutangaza kuwafukuza watangazaji wa TBC si cha kiungwana na kinahatarisha usalama wa watendaji hao na vifaa vyao.
Pamoja na kwamba TBC inapanga kutoa taarifa rasmi Polisi na kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi, kwa sasa inasitisha rasmi kurusha matangazo ya CHADEMA hadi hapo watendaji wake watakapohakikishiwa usalama.
TBC inapenda kutimiza wajibu wake wa kisheria na imekuwa tayari, siku zote, kufanya kazi na vyama vyote vya siasa bila ubaguzi.
News Alert: - Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa
Kwanini mlikuwa mnakata matangazo kwakuingiza maneno ya watangazaji

Hata siasa zina majambazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwanamme mmoja akawakurupusha team zima, dakika kumi na tano wakafungasha, Mbowe is bae[emoji8][emoji8]
Alisikika .... akisema
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake katika mkutano wao wa kuzindua Kampeni za Mgombea wao wa Urais katika viwanja vya Zakheim, Mbagala Jijini Dar es Salaam, jioni hii.
TBC1 na TBC Taifa kama chaneli za umma zilikuwa zinarusha matangazo ya moja kwa moja kwenye uzinduzi huo kwa mujibu wa sheria na miongozo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Hata hivyo, kwa mujibu wa mwongozo wa Tume wa mwaka 2020, (kifungu e na j), kanuni za maadili ya tasnia ya habari; vyombo vya utangazaji vya umma pia vinao wajibu wa kuhakikisha maudhui yanayorushwa hewani yanazingatia maadili ya taaluma na ya jamii.
Kitendo cha uongozi wa CHADEMA kutangaza kuwafukuza watangazaji wa TBC si cha kiungwana na kinahatarisha usalama wa watendaji hao na vifaa vyao.
Pamoja na kwamba TBC inapanga kutoa taarifa rasmi Polisi na kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi, kwa sasa inasitisha rasmi kurusha matangazo ya CHADEMA hadi hapo watendaji wake watakapohakikishiwa usalama.
TBC inapenda kutimiza wajibu wake wa kisheria na imekuwa tayari, siku zote, kufanya kazi na vyama vyote vya siasa bila ubaguzi.
News Alert: - Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa
Tibiisii, chaneliten na staatiivii ni miongoni mwa media hawajitambui wao ni nani na wanapaswa kufanya nini...
Wapuuzwe mbona CCM wakiongea hawakati sautiUhuni wa kukata sauti ni ungwana....kweli nyani haoni kundule
Wanalumumba.Hata wakisitisha, kwani nani skuizi bado anaangalia hii tibisii...!!??
Wakuu nawasalimu heshima iwe juu yenu,
Baada ya nguvu ya umma kuitimua tbc leo viwanja vya zakhiem kutokana na kuonyesha matangazo ya mkutano wa CHADEMA kwa hila kwa kukatisha masuala ya msingi kwa taifa ambayo wanahisi watawala hawayapendi kuyasikia,shirika hilo la utangazi la taifa limesema litaenda polisi kuishtaki chadema na kushitaki kwa Nec
Umbwa wwWenye akili ya ziada hawaoni kama kuitoa ccm madarakani ndio solution kwenye kivuli cha kuaminishwa kuwa ni demokrasia.
wenye akili ya ziada wanajua kutenga ukweli na siasa.
mabadiliko ya kweli yanaanza na wewe (self-government) kamwe usitegemee mtu fulani aje akuletee mabadiliko uanayotaka huo ni utahira.
CDM wamenisikisha sana kwa kuwa na ujasiri wa hata kuvunja amani ya taifa la mama zao kwa kivuli cha eti demokrasia uchwara kwa kutegemea backup ya wadau fulani wakidhani watapata wanachotaka huo ni utahira uliopindukia.
iko wapi Libya ya gadafi na Libya ya demokrasia ya wazungu walioitaka kwa kumuondoa mzalendo 🙁
Wasichanganye habari hawakufukuzwa na Chadema bali walifukuzwa na wenye TBC (wananchi).CDM waliomba tu mwongozo kutoka kwa wamiliki wa TBC (wananchi)amabo ndio waliofanya maauzi ya kuwaondoa
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake katika mkutano wao wa kuzindua Kampeni za Mgombea wao wa Urais katika viwanja vya Zakheim, Mbagala Jijini Dar es Salaam, jioni hii.
TBC1 na TBC Taifa kama chaneli za umma zilikuwa zinarusha matangazo ya moja kwa moja kwenye uzinduzi huo kwa mujibu wa sheria na miongozo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Hata hivyo, kwa mujibu wa mwongozo wa Tume wa mwaka 2020, (kifungu e na j), kanuni za maadili ya tasnia ya habari; vyombo vya utangazaji vya umma pia vinao wajibu wa kuhakikisha maudhui yanayorushwa hewani yanazingatia maadili ya taaluma na ya jamii.
Kitendo cha uongozi wa CHADEMA kutangaza kuwafukuza watangazaji wa TBC si cha kiungwana na kinahatarisha usalama wa watendaji hao na vifaa vyao.
Pamoja na kwamba TBC inapanga kutoa taarifa rasmi Polisi na kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi, kwa sasa inasitisha rasmi kurusha matangazo ya CHADEMA hadi hapo watendaji wake watakapohakikishiwa usalama.
TBC inapenda kutimiza wajibu wake wa kisheria na imekuwa tayari, siku zote, kufanya kazi na vyama vyote vya siasa bila ubaguzi.
News Alert: - Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa
Kamwambie mama yako hivyo we shoga...Umbwa ww
Au Shirika la utangazaji la ccm (CCM-BC)Libadili jina, liwe shirika LA utangazaji Lumumba (LBC)
Miaka ya nyuma jina lumumba lilikuwa na heshima kwasababu ya mwanamapinduzi Patrice Emily Lumumba Leo hii kwasababu ya CCM jina lumumba linatumika Kama kejeli.Libadili jina, liwe shirika LA utangazaji Lumumba (LBC)
Mnduku kowa mwalimu mkuu mama yakoKamwambie mama yako hivyo we shoga...