Uchaguzi 2020 Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake

Lazima itafumuliwa iwe shirika la umma kweli kweli; hata jina litabadilishwa kuondoa kumbukumbu yake.
Aisee wewe jamaa ni mkali sana wa kuona mbali kama unatumia digital binocular
 
Ni kwasababu walijua watakaribishwa na kuruhusiwa kufanya wapendavyo; pamoja na kukata matanga, nondo zinaposhushwa. Kwa bahati mbaya kwao. Tumeshachoshwa na unafiki wao!
Hao majamaa sijui kama wanaonaga kitu aibu
 
Ndiyo washafukuzwa sasa hutaki kanywe sumu.

Nani asiye wajua tbc kuwa ni maadui wa upinzani wa kweli hapa Tanzania?

Tangu lini uliwahi kuwaona tbc wanarusha mikutano ya cdm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…