Uchaguzi 2020 Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake

..Wawe pia Wawazi na Kueleza walichofanya hadi CHADEMA kufikia hatua ya kufanya walichowafanyia!
CHADEMA sio Wehu wa Kuanza kutimua Watu kwenye Mikutano!
TBC wekeni mambo hadharani...Mlifanya nini?
 
Mtu kila cku mnaongelea madaraja ya dar tu wkt ukienda tu hapa rufiji barabara ni mbovu htr ..acheni upimbi ninyi viherehere
 
Wana haki ya kutimuliwa maana walikua wana kata matangazo kila anapotajwa magu.
 
Fukuza hao leo ndiyo wamekumbuka
 
Chadema is beating MATAGA at their own game....

this is nice now!!
 
CCM (TBC) ilikwenda kufanya nini kwenye shughuli ya kitaifa...?

Wazee wa kuvizia kuteka na watu watu...miaka 5 wamezuia watu wasiongee leo eti wema sana...pambaf....komesha hao Yeboyebo!! aka Utoporo fc!!
 
Chadema wamekosa busara.walichafanya leo kuwafukuza tbc kitakuja kuwagharimu.
 
Unajua maana ya live wewe hakuna kuchuja ama kupeta hakuna kupepesa wala kumumunya waende huko na unafiki wao Tumeanza na Mungu na Tutamaliza na Mungu
 

Pumbavu. Ujinga mtupu. Mtabaki tbccm. Hovyooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…