Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mass food caterers. Wamekwisha!Mama Ntilie wako kwenye kundi gani hapo ?
Ndio mpango mzimaHapa kodi tu
Wanaokwisha ni walaji, sio wauzajiMass food caterers. Wamekwisha!
Hakika. Kwa sababu mama na baba lishe watapandisha bei za misosi kufidia tozo ya TBSWanaokwisha ni walaji, sio wauzaji
Hakuna kitu kama hicho, watapandisha on a long run ila hoteli haiwezi kupandisha bei kwa sababu ya tozo ya tbsHakika. Kwa sababu mama na baba lishe watapandisha bei za misosi kufidia tozo ya TBS