Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeagiza majengo ya baa, kantini, mihagawa, maduka makubwa, hoteli na maduka ya vipodozi visajiliwe na walipe tozo

Nikiwa sina pesa basi nitaanza kukagua mifuko ya nguo zangu zilizopo kabatini, nitaangalia uvunguni nitaangalia chini ya mto... hii yote ni juhudi za kuangalia kama kuna pesa niliisahau kabla hazijaisha.

Most cases huwa nakutana na buku buku, jero jero, jiti mbili... na maisha yanasonga!!

Naona na serikali inafwata nyayo zangu.
 
Tangazo gani mhimu kama hili limeandikwa kama barua ya uchumba....! Tozo hiyo inalipwa kwa sheria ipi, angeweka kwenye tangazo ingependeza zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…