Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) yapata Katibu Mkuu Mpya

Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) yapata Katibu Mkuu Mpya

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
416
Reaction score
414
Kikao cha Kamati ya Utendaji cha Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, kimefanya Uteuzi wa Katibu Mkuu Mpya ambaye ni Wakili Msomi Jackson Ndaweka.

Uteuzi umefanyika kwa Mapendekezo ya majina mawili , Michael Washa na Jackson Ndaweka , na Wakili msomi kushinda kwa kura zilipigwa na wajumbe.
 
Back
Top Bottom