mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Shirikisho la soka nchini Nigeria limepiga marufuku wachezaji nchini humu kushsngilia kwa mtindo mpya wa Bathazal ambapo mchezaji wa timu ya Shooting Stars aitwaye Mustafa alishangilia baada ya kuipatia timu yake goli muhimu shidi ya wapinzani wao El Kanemi
Katika tukio hilo Mustafa alifanya kama analamba mkono wake wa kia na kisha kuushusha kwenye bukta kabla ya kuweka mikono yote kifuani na kuanza kukata mauno.
Ikimbukwe kwa sheria za FIFA ukishangilia kwa kuinyesha dole la kati,au ukatumia ishara yoyote ya matusi utakumbana na faini na kufungiwa mechi kati ya mbili au tatu.
Benard Morison angekuwa Tanzania kwa kile kiwango alichokuja nacho lazima angeingia kwenye huu mtego