Shirikisho la soka nchini (TFF) Wafunguka Kuhusu Kurejea Kwa Michuano ya Ligi Kuu

Shirikisho la soka nchini (TFF) Wafunguka Kuhusu Kurejea Kwa Michuano ya Ligi Kuu

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Shirikisho la soka nchini (TFF), limeweka wazi kuwa linashirikiana na Bodi ya Ligi (TPLB), kuhakikisha ligi kuu inarejea, lakini bado mchakato huo ni wa ndani kwani unategemea tamko la serikali juu ya mwenendo wa janga la Corona.

Taarifa ya TFF leo Mei 5, 2020 imeeleza kuwa mchakato wa ndani kati ya shirikisho na Bodi pamoja na wadau ikiwemo vilabu unaendelea.

1588688342494.png
 
Wacha warudishe tu watakaokufa watakufa mpaka wote tufe kuanzia hao wanaorudisha ligi
 
Mpila na siasa mwenzao yupo kwenye kampen nyinyi nao bila kujua mnaingia kichwa kichwa
 
Ligi ifutwe hakuna bingwa..aliyecheza mechi nyingi za CAF msimu huu akacheze CAF Champions league na Azam alicheza mechi nne CAF Confederation ndio wacheze mashindano ya CAF..Barakoa FC hamna lenu
 
Ligi ifutwe hakuna bingwa..aliyecheza mechi nyingi za CAF msimu huu akacheze CAF Champions league na Azam alicheza mechi nne CAF Confederation ndio wacheze mashindano ya CAF..Barakoa FC hamna lenu
alisikika mlevi mmoja...
 
Usikose kuangalia kipindi cha Tamasha la Michezo ITV kuanzia saa nane mchana ili umshuhudie Kocha Liston Katabazi akieleza kwa undani madudu ya TFF na ubadhilifu wa pesa unaofanywa na viongozi wachumia tumbo wa shirikisho hilo ambao ndio chanzo cha kudumaa kwa mchezo wa Soka hapa nchini.
 
Back
Top Bottom