Hawa wamesha fanya maamuzi wanamsubiri tu fulani aagize.......Yale yale, hakuna mpya hapo. Ni mdundo tu umeongezewa vionjo, ila nyimbo ni ile ile.
Ligi ifutwe hakuna bingwa..aliyecheza mechi nyingi za CAF msimu huu akacheze CAF Champions league na Azam alicheza mechi nne CAF Confederation ndio wacheze mashindano ya CAF..Barakoa FC hamna lenu
Rostam ametoa 1 B na vifaa vya mamilioni...Nyie mnauza barakoa za kushonesha na MO anauza sanitizer...njaa imeamia MsimbaziAkili za utopolo
alisikika mlevi mmoja...Ligi ifutwe hakuna bingwa..aliyecheza mechi nyingi za CAF msimu huu akacheze CAF Champions league na Azam alicheza mechi nne CAF Confederation ndio wacheze mashindano ya CAF..Barakoa FC hamna lenu
ahaa utopolo bana shida sana.Rostam ametoa 1 B na vifaa vya mamilioni...Nyie mnauza barakoa za kushonesha na MO anauza sanitizer...njaa imeamia Msimbazi