Shirikisho la soka Tanzania (TFF) jitokezeni mtuweke wazi michuano ya Kombe la shirikisho Tanzania (FA) inaitwa Azam sports federation au CRDB?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
NALIA NGWENA Leo nimechanganyikiwa baada ya kuona ukurasa wa Azam sports ukiposti ujumbe huu

#ASFC: Machi 2, 2024, wapiga picha wa Mtibwa Sugar, waliipiga picha hii wakati kikosi cha timu hiyo kilipoifunga Singida Fountain Gate 2-0 kwenye mchezo wa NBC Premier League katika dimba la CCM Kirumba pale Mwanza.

Leo majira ya saa 3:00 usiku, Mtibwa itamenyana na Azam FC kwenye mchezo wa michuano ya #AzamSportsFederationCup utakaopigwa katika dimba la Azam Complex, Chamazi.

Je, picha kama hii ya wachezaji wa Mtibwa Sugar, wakishangilia goli itapatikana leo?

Mechi itakwua LIVE #AzamSports1HD

(Imeandikwa na @allymufti_tz )

#ASFC #AzamSportsFederationCup #KombeLaShirikishoLaAzamSports #AzamFC #MtibwaSugar

Kwa muonekano huu Kuna kitu hakipo sawa wadau wa mpira tumeshindwa kuelewa hii michuano ni Ya Azam au CRDB??

TFF Sijui mnafeli wapi katika hili kulitolea MAELEZO??
Screenshot_20240407-135738.jpg
 
NALIA NGWENA Leo nimechanganyikiwa baada ya kuona ukurasa wa Azam sports ukiposti ujumbe huu

#ASFC: Machi 2, 2024, wapiga picha wa Mtibwa Sugar, waliipiga picha hii wakati kikosi cha timu hiyo kilipoifunga Singida Fountain Gate 2-0 kwenye mchezo wa NBC Premier League katika dimba la CCM Kirumba pale Mwanza.

Leo majira ya saa 3:00 usiku, Mtibwa itamenyana na Azam FC kwenye mchezo wa michuano ya #AzamSportsFederationCup utakaopigwa katika dimba la Azam Complex, Chamazi.

Je, picha kama hii ya wachezaji wa Mtibwa Sugar, wakishangilia goli itapatikana leo?

Mechi itakwua LIVE #AzamSports1HD

(Imeandikwa na @allymufti_tz )

#ASFC #AzamSportsFederationCup #KombeLaShirikishoLaAzamSports #AzamFC #MtibwaSugar

Kwa muonekano huu Kuna kitu hakipo sawa wadau wa mpira tumeshindwa kuelewa hii michuano ni Ya Azam au CRDB??

TFF Sijui mnafeli wapi katika hili kulitolea MAELEZO?? View attachment 2956380
Matangazo yote ya mechi zijazo yanaandikwa ASFC, lakini Wachezaji Bora wanapewa zawadi na CRDB.
 
Back
Top Bottom