Shirikisho la soka Tanzania(TFF) lamfungia Ajibu.

Habari kama hii inatakiwa uipeleke facebook na si hapa JF.

Umeharibu usiku wangu.
 
Shirikisho la soka Tanzania,limetangaza rasmi kumfungia mchezaji wa yanga Ajibu mechi 3 kwa kukiuka maadili ya Tanzania baada ya kufunga goli ambalo haliendani na maadili ya kitanzania.[emoji23][emoji23]
Pia Shaban Idd Chilunda ............sio watu wazuri kabisa......
 
Shirikisho la soka Tanzania,limetangaza rasmi kumfungia mchezaji wa yanga Ajibu mechi 3 kwa kukiuka maadili ya Tanzania baada ya kufunga goli ambalo haliendani na maadili ya kitanzania.[emoji23][emoji23]
Wamefanya vizuri kumfungia. Hongera TFF. Goli gani linaleta presha na kuongeza chuki binafsi kwa haters. Hakika hafai huyu kijana mjukuu wa Migomba
 
Back
Top Bottom