Mshabiki wa simba huyo mkuu, wana stress sasa hivikivip mkuu!
Pia Shaban Idd Chilunda ............sio watu wazuri kabisa......Shirikisho la soka Tanzania,limetangaza rasmi kumfungia mchezaji wa yanga Ajibu mechi 3 kwa kukiuka maadili ya Tanzania baada ya kufunga goli ambalo haliendani na maadili ya kitanzania.[emoji23][emoji23]
Wamefanya vizuri kumfungia. Hongera TFF. Goli gani linaleta presha na kuongeza chuki binafsi kwa haters. Hakika hafai huyu kijana mjukuu wa MigombaShirikisho la soka Tanzania,limetangaza rasmi kumfungia mchezaji wa yanga Ajibu mechi 3 kwa kukiuka maadili ya Tanzania baada ya kufunga goli ambalo haliendani na maadili ya kitanzania.[emoji23][emoji23]