Shirima alikufa akiwa amelewa sana

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Mchaga baada ya kufa akaulizwa na malaika anayetoa roho:
Mangi hapa ni njiapanda kulia ni Mbinguni na kushoto ni Jehanamu,
Je unachagua kwenda wapi?
MANGI: Bwashee, mi nabaki hapa hapa njiapanda aisee.
MALAIKA: Kwa nini?
MANGI: Aisee, nikifungua duka hapa si nitapata wateja wa Mbinguni na Jehanam. Yani patakuwa senta ya hatari, supu na nyama choma muda wote.
Hata we utafaidi, unavyoenda kuchukua roho unaniletea stock nakupa hela yako cash mkononi. Na kila ukipita hapa unapiga mchemsho wako wa ulimi na bia mbili chap kabla ya kuingia mbinguni.
Kwanza nashangaa Shirima alipitaje hapa bila kushika ploti, au alikufa amelewa sana?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawa mabwashee ni shida kwenye fursa aiseee.
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji12] [emoji12] aliwahi kuuliza mangi mmoja "Aisee hivi Kumbe Pilau ni Mchele eeh?"
 
Shirima alikuwa [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…