Shirko aliishia wapi? Master wa fusion ya Pwani na dancehall

Shirko aliishia wapi? Master wa fusion ya Pwani na dancehall

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Screenshot_20241114-095301.png
Mwamba aliweza kuja na biti kali ambazo zilikuwa na chembe chembe za sound za mwambao akichanganya sound za dance hall.

Aliweza kutukosha zaidi na ngoma ya "na wewe tu" na "najua"
 
Mbona yupo kwao mombasa huko😂. Na bado anaproduce ngoma nyingi tu.
 
Jamaa alikua na kasura flani hivi
Enzi zile imetoka kidato kimoja🤣🤣 hamna msichana ambae atasema jamaa hakua "Crush " wake
Ila saizi kawa mbaba mbaba haongi.
 
Back
Top Bottom