ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
muonekano wake wapagawisha,laiti kama angekuwa nominated lazima tuzo zingerudi kwani ana masong makali na sauti tamu mno haswa akipafomu kwa cd kama bwana simba karoli
hapa katupia picha ila kaongeza swag kidooogooo kwamba ni mtv adrica,yup its yooo boooy shishi
View attachment 422623
[emoji23] [emoji23] [emoji23] alienda kweli hapo yupo zake red carpetNi kweli alienda?Hayo mavazi kama anaenda kuperform jamani
Yani wewe uko kama mimi nampenda huyu dada kwa mambo kadhaa.Kwanza hamtegemei mwanaume ili kupata pesa japo analizimisha mziki hadi watu wameanza kumuelewa,pili haogopi kujaribu ndo mana kafika hapo alipo.nyinyi mnaomponda shishi..
shishi kawazidi hela[emoji23][emoji23] bank
shishi nampenda hajikwezi..
independent woman[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]....
mengine atajijua mwenyewe...
nampenda Zuwena[emoji7]
say ma nem say ma nem...
Ni kweli ni mwanamke mwenye GUTS, wamemsema na kumcheka kwa kutojua kingereza sawa sawa ,lakini hajali kabisa, ndo kwanza anaendelea kukizungumza na kujaribu kujiendelezaYani wewe uko kama mimi nampenda huyu dada kwa mambo kadhaa.Kwanza hamtegemei mwanaume ili kupata pesa japo analizimisha mziki hadi watu wameanza kumuelewa,pili haogopi kujaribu ndo mana kafika hapo alipo.
Tofauti na sisi wadada tunaojiita wasomi wakati hatuna guts za kufanya mambo afu bado tunadanga pesa kwa wanaume.
The rest namuachia mwenyewe.
nyinyi mnaomponda shishi..
shishi kawazidi hela[emoji23][emoji23] bank
shishi nampenda hajikwezi..
independent woman[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]....
mengine atajijua mwenyewe...
nampenda Zuwena[emoji7]
say ma nem say ma nem...
Yani wewe uko kama mimi nampenda huyu dada kwa mambo kadhaa.Kwanza hamtegemei mwanaume ili kupata pesa japo analizimisha mziki hadi watu wameanza kumuelewa,pili haogopi kujaribu ndo mana kafika hapo alipo.
Tofauti na sisi wadada tunaojiita wasomi wakati hatuna guts za kufanya mambo afu bado tunadanga pesa kwa wanaume.
The rest namuachia mwenyewe.
Njooni Kijitonyama Alimaua mtamuona,Ni kweli ni mwanamke mwenye GUTS, wamemsema na kumcheka kwa kutojua kingereza sawa sawa ,lakini hajali kabisa, ndo kwanza anaendelea kukizungumza na kujaribu kujiendeleza