Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Hiyo "ila" haiendani na ulichoandika kwani huwa inatumika kuleta picha tofauti ya kukosoa/kupinga ulichoandika mwanzo.Kama ujafika korea basi niwajuze tu? Japo wanakila kitu na wapo mbali sana ila swala la migahawa ya vyakura na huduma za chukura korea wapo vizuri sana.
Biashara ya chakura korea hipo tofauti na uwezi kuona biashara zina fanana yani huyu akipika wali wa chunvi mwengine anapika wali sukari.
Mazingira ya baishara ya migahawa ingeweza kumfungua shishi na kuwasanua wenzake kuwa chakura ni uhai na kina biashara.
Sasa mnampeleka stive nyerere anakuja huku kutuambia anataka bima ya afya na mdomo wake utazani samaki wakavu wa mwanza
kamongo auKama ujafika korea basi niwajuze tu? Japo wanakila kitu na wapo mbali sana ila swala la migahawa ya vyakura na huduma za chukura korea wapo vizuri sana.
Biashara ya chakura korea hipo tofauti na uwezi kuona biashara zina fanana yani huyu akipika wali wa chunvi mwengine anapika wali sukari.
Mazingira ya baishara ya migahawa ingeweza kumfungua shishi na kuwasanua wenzake kuwa chakura ni uhai na kina biashara.
Sasa mnampeleka stive nyerere anakuja huku kutuambia anataka bima ya afya na mdomo wake utazani samaki wakavu wa mwanza
Nimeishia kusoma hapa, baada ya kupata kichefuchefumigahawa ya vyakura
Ninachojiuliza mimi katika pitapita zake mtandaoni au hata mighahawani hajawahi kukutana na neno "Chakula"? Na hajastuka tu mbona wengi wanaandika hivi, hii sio sahihi kweli ila wapi.Nimeishia kusoma hapa, baada ya kupata kichefuchefu
Kwani ana hiyo tabia?Angebeba ka kijana ka watu ka kikorea huyo
inawezekana ikawa kweli maana ule usimbe wakeAngebeba ka kijana ka watu ka kikorea huyo