Shitukia Atanda, hukunifanyia utu lakini nilishangaa kusamehe

Hapana mkuu, hipo najaribu kuwakumbusha member wenzangu wawe makini na huyu mleta Uzi maana anavinasaba vya kipunga
Kabisa mkuu,anatia mashaka saana,usikute watu washapita Tarura hukoo!
 
Shitukia Atanda, hukunifanyia utu lakini nilishangaa kusamehe

Aliye elewa tafadhali....Hakuna anae miliki Gun aniazime hawa watu ndio wanafanya mvua isinyeshe, matetemeko yazidi na uchumi kudorora
 
Hapana mkuu, hipo najaribu kuwakumbusha member wenzangu wawe makini na huyu mleta Uzi maana anavinasaba vya kipunga

Amini mkuu, nimepekua nimeona ana kila dalili ya kupakuliwa... alitamani kuzaa before now atakuwa tayari ana mimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…