Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kutoka katika ukurasa rasmi wa simba. mchezaji shiza kichuya amesajiliwa Enppi ya nchini Misti na ataanza mazoezi hapo kesho. kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya misri dhidi ya Al ahly hapo siku ya jumanne February 5 2019..kila la kheri..