Shiza Ramadhani Kichuya, moto unaozimika taratibu

Dah! Najuta kuwa team moja ya Ulaya na mbumbu kama wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
atangaze kuwa anaenda Yanga, mikia fasta itamsainisha mkataba mpya tena mnono na kumpa namba kwenye kikosi cha1, hivyo ndivyo walivyo fanya wenzake
 
Kuporomoka kwa Kichuya ilianza baada ya Hassan Dilunga na Clatous Chama kusajiliwa Simba.

Kama ilivyo kawaida alilazimika kuondoka kwenye position ambayo alikuwa akicheza ya central attacking midfield na kupelekwa right wing au left wing hii ilimfanya apunguziwe uhuru wa eneo la kucheza.

Ile front three iliyompa ubingwa Uchebe ya Okwi Kagere Bocco ilimalizia maana ililazimika apiganie namba dhidi ya Chama, Okwi au Bocco huu ulikuwa mtihani mkubwa sana.

Dogo alijitahidi akamkalisha benchi Dilunga akapambana akapenya kuweza kuingia kikosini mpaka kufanikiwa kwenda Egypt.

Changamoto iliyomkumba ni kukosa nafasi ya kucheza kwa muda mrefu lakini kwa age yake naamini ataibuka tena upya maana kwenye tight wing bado simba haina perfect player wa kucheza iwapo Deo Kanda ataondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawai chief

Sent using motorola
 
Kiwango chake kinapolomoka kwa kasi ya ajaabu, si ajabu akatangata kustaafu siku za usoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…