Bi Kizee kasindikizwa na mjukuu wake wa kike
mwenye shepu ya nguvu kwenda hospitali kwa
kuwa alikuwa anaumwa wakaingia chumba cha
dokta;
MJUKUU: Habari za leo dokta, tunaumwa tumekuja
kupimwa. DOKTA: Haya ingia nyuma ya pazia, vua nguo zote
lala kwenye hicho kitanda upimwe
MJUKUU: Siumwi mimi ni bibi anaumwa
DOKTA: Dah kumbe bibi, haya bibi fungua mdomo
tuangalie kinywa.