shkamooni!

shkamooni!

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,586
Reaction score
11,227
wana jamvi , mimi mtwa mkulu wa dar nimekuwa jamvini kwa siku kadhaa. nimeona si busara niombe kukaribishwa. napenda sana kutoa na kuchangia hoja mbalimbali
 
Karibu sana ila sheria ni kama Tai-iwe mbele kwa kila jukwaa,usilete lugha za kwenye Facebook
"Vox popoli vox dei"
 
Back
Top Bottom