Shock: Hospitali ya Kairuki yakataa wagonjwa wa ugonjwa wa mifumo ya hewa kijanja, yaweka bei isiyowezekanika kwa Watanzania wengi

WWamekanusha taarifa hii kuwa ni ya uongo.
 
Fake News.,..Uongozi wa Kairuki Hospital umeshakanusha......see attachments....
 
WWamekanusha taarifa hii kuwa ni ya uongo.
Pressure ya Jamii, imesaidia, naamini ule waraka ni wao, wameukana kiutu uzima. Tunawaelewa!

Kuna watu wanatetea bei za namna hii, wanasema eti kwa kuwa ni soko huria basi ni haki yao!

Serikali ikiruhusu bei ghali namna hii kwenye huduma za afya basi kila hospitali itapandisha, na mwishowe atakayeumia ni sisi. Ndiyo maana kuna haja ya kupigia kelee vitu kama hivi kwa ajili ya manufaa ya wengi.

Biashara ya Afya iwe ni biashara tunakubali lakini isiwe ni uharamia
 
Mmewapa ruzuku? Na ke hela kwaajili kusaidia tatizo la upumuaji mliwapa? Kama hamjawapa watajiendeshaje kama taasisi ? Kumbuka vifaa vya ugonjwa huu wa upumuaji ni ghari sana.
Kama unaimani na mitano tena ni vizuri ukashauri njia za kutatua tatizo na sio kuwalaumu kairuki hosp
 
Hivi na wao wenye hospital wakiumwa wanalipia hizo gharama?
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mkuu unachekesha, wewe ukiwa unauza juice utakua unakunywa tu juice vile unavyojisikia mpaka ziishe kwa kuwa wewe ni mmiliki na hakuna atakaekuuliza
 
Corona wameleta hawa wenye hosp kusud wapige hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…