Teremaro Member Joined Mar 18, 2022 Posts 29 Reaction score 26 Aug 16, 2024 #1 Habari za wakati huu ndugu zangu, naombeni kujua hizi shock up aina ya koroma ni imara? Maana kuna fundi hapa ananifungia kwenye duals yangu mwenye kuzijua vizuri anijuze tafadhari!
Habari za wakati huu ndugu zangu, naombeni kujua hizi shock up aina ya koroma ni imara? Maana kuna fundi hapa ananifungia kwenye duals yangu mwenye kuzijua vizuri anijuze tafadhari!