Hii kitu inabidi ibadilishwe....inabidi tuwe tunachagua kwa uwazi...tunajipanga mstari mmoja kwa mgombea tunayemtaka na wengine kwa mgombea mwingine....kwanza hii itapunguza gharama za kuchapisha makaratasi...na kuwahisha upatikanaji wa matokeo maana kuhesabiwa kwa kura kutafanywa kwa rahisi.