Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kangi hawezi kuhararisha ushoga wakati katiba yetu inapinga swala Hilo, by the way polisi na structure yake sio katiba ya nchi, kubadili structure sio katiba, Tena nyongeza alisema Hana taarifa Kama Kuna mashoga wanasumbuliwa na Kama wapo basi wakaripoti kituoni kuwa wanasumbuliwa, kwaakili ya kawaida unafikili Hapo anatetea au anawaingiza mtegoni?! Aende akaripoti ataludi huyo??
WEWE UNAJUA NINI KUHUSU KATIBA BWANA??Kangi hawezi kuhararisha ushoga wakati katiba yetu inapinga swala Hilo, by the way polisi na structure yake sio katiba ya nchi, kubadili structure sio katiba, Tena nyongeza alisema Hana taarifa Kama Kuna mashoga wanasumbuliwa na Kama wapo basi wakaripoti kituoni kuwa wanasumbuliwa, kwaakili ya kawaida unafikili Hapo anatetea au anawaingiza mtegoni?! Aende akaripoti ataludi huyo??