Shoga na Basha

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
7,518
Reaction score
6,506
Hivi kati ya hawa wahusika wawili wanaoudhi sana akili na nafsi yangu, ni nani hasa ndie kichocheo cha kuwepo huu mchezo wa hovyo kabisa ambao naamini hata machoni pa shetani mwenyewe ni maudhi tu?
 
Nadhani mkuu Chapa shoga na basha ni k2 kilekile.. is like two sides of the same coin..bila ****** hakuna basha..na bila basha hakuna ******..wote wa kuchoma..hakuna cha afadhali wala potelea mbali hapo..
 
Utata uliopo kichwani mwangu ni je mashoga hushawishika kuwa mashoga kwa vile mabasha wapo au la?, and vice versa. Najaribu kufikiri ni kipi kianze kupigwa vita kuondoa huu ujinga.
 
Intotally wote ni mashoga. Na unaweza kujua hivyo baada ya kuangalia ina zao.
1. Ni wale waliokwisha badilika na kuchukua muonekano mbaya (mwanamke anakuwa kakazana kuliko huyu).
2. Anayefanyia tu (basha)
3. Anayefanyiwa tu (ambaye muonekano wake upo kama kijana wa kawaida).
4. Anayefanyiwa na kufanyia.

Wote ni mashoga na wote wana muendelezo wa na namna moja kimadhara.
Mungu tunusuru na madhara yao na uwapotelezee mbali
 

Amen, na hawa watu wa haki za binadamu ndio wachochezi/watetezi wa huu ujinga
 
Wote wamelegea nyonga na mishipa ya viuno

Wote wanapenda kucheka kuliko kuhuzunika

Wote wanapenda kachumbari kuliko nyama

Wote huwa wanabeba handkerchief 5 mpaka 7 nyeupe

Wote wamebeba laana badala ya baraka.
 
Wote n mashoga ila m naona basha ndo kichocheo maana wengi utakuta ni watu wazima na huwarubun watoto ambao nao wakikua wanakuwa mashoga nakupenda michezo hiyo michafu
 
Inategemea na Mazingira mfano Mashuleni!
1) Kwny Bweni lenye Shoga basi kuna uwezekano akatengenezwa Basha
2) Kwny Bweni lenye Basha kuna uwezekano wa kuibuka Shoga.
 
Yani kama mwanaume anaweza kumbokoa mwenzie basi ujue nae anaweza kubokolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…