Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Hebu fikiria kwamba, umebaini kuwa shoga yako wa karibu kabisa, ndiye ambaye amekuwa akitembea na mumeo au mpenzi wako. Umekuwa ukimsimulia shida zako na matatizo yako yatokanayo na ndoa yako au uhusiano wenu, yaani mume wako au huyo mpenzi wako kutotulia, ukijua unamsimulia shost wako, wakati ndiye chanzo cha madhila uliyo nayo.
Katika kumsimulia amekuwa akikupa moyo na kukuambia wanaume ndivyo walivyo na wakati mwingine amekuwa akikwambia kwamba, ukiona vipi ni bora uachane naye. Hivi sasa unagundua kwa maumivu kwamba, yeye ndiye ambaye amekuwa akikusababishia maumivu yote. Hebu sema ungefanyaje?
Uzuri sina mume wala mashoga wakuwasimulia mazuri na mabaya ya mahusiano yangu...
Hivi kweli mnaweza kukaa kimya au mnadanganya tu humu MMU? Swala la wanawake kuwasimulia mashoga zao juu ya mahusiano yao na wenza wao au wapenzi wao ni jambo ambalo wanawake wengi hufanya sana. Ni wanawake wachache sana wanaweza kuwa hawafanyi hivyo, lakini, hata hivyo kuna baadhi ya siri zao watazivujisha tu kwa mashoga zao aidha kwa bahati mbaya au kwa kukusudia pale wanapohitaji kusifiwa japo kidogo au kuwakoga wenzie kuwa wanacho cha kujivunia................ kuweni wakweli kwa nafsi zenu, msibishe kishabiki.............!
ukisimulia/ukitoa yaliyo moyoni yanayokuumiza unakuwa kama umetua mzigo hivi. But katika maisha ya sasa, simwambii mtu l.o.l awe shoga, mzazi wala nani... Binadamu wengi wanafurahi wenzao wakiwa katika matatizo. au ndo anakuzunguka. Hakuna haja ya kumwambia mtu... nitamweleza Mungu.. au ntakuja kufunguka MMU l.o.l. HAKI YA NANI VILE trust NO BODY !!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwanza ni kosa kumueleza shoga mambo yako yote kama unamueleza basi mpe utandu ukoko uweke mwenyewe manake mashoga wazuri hakuna tena kumebaki mafisadi, nikigundua kama ndio mkwe mwenza nikumshukuru kwa uungwana wake na kufunga njuga kumuweka mumeo atulie ili huyu shostito akijue cheo chake juu yakua inauma sanaaaaaaaaa lakini nikiwa kama mwanamke ntakikisha mume wangu nikonae nimemthibiti....
nimekudondokea gafla... Aiseekwangu mie siwezi sema mpaka limetokea lakutokea so far i trust men kuliko hao so called shoga sijui nini kumueleza mambo yangu ........................
Hapo mwanangu unatafuta kesi, na sitakuwa tayari kukuwekea dhamana...............!
Umnyonyoe kwani ana manyoya?
Kichwani au Kwapani................!?
natoa kiharage bila ganzi
Kama kashakeketwa je utamfanyaje?natoa kiharage bila ganzi
Aisee jimbo lako liko 'wazi' nije kugombea?