Shoga yako anatembea na mumeo!

Mtambuzi the Great thing about this topic ni kua sio relevant kwangu.... Daima i have lady friends but sio level ya ushoga.... Rafiki yangu wa kike aruhusiwi (katika personal rules zangu) kumjua kiundani Mwanaume wangu, No! Not from me..... Ila nimekwazika YES I can rant kwa rafiki yangu kua nimeumia.... Na suala la kusema Rafiki yangu wakike anishauri nimuache mwanaume wangu for whatever reasons.... Labda kue na justifications za kutosha; For kwa upande wangu i can never advice my fellow woman amuache mwanaume wake....
 



Dah! Nilikusahau aisee.....
 
duu kuna mashoga na vijishoga
 
Mwanamke anayeipenda ndoa yake na kuthamini aibu ya mumewe hawezi kutoa mambo ya chumbani au nyumbani kwake na kuhadithia mashoga.
Matatizo yangu nitalia na mungu wangu na yakinishinda nitachagua yanayoongeleka nitaongea na mama yangu mzazi period.

una hekima ya hali ya juu mdada...
 
nilikuwa napita tu,leo mimi sitaki kuudhi mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…