Shopkeeper

Shopkeeper

Kuku wa Kabanga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2009
Posts
807
Reaction score
368
habari wanaJF
Natafuta kijana wa kiume au kike,umri kati ya 18 na 21,mwenye elimu ya kidato cha nne,anayeishi maeneo ya ubungo,kimara au mbezi luis kwa ajili ya kazi ya kuuza duka la vitu vya nyumbani,nipm kama unataka nafasi hii na una vigezo hivyo nilivyotaja.
 
mbona haujaweka contacts zako?, how can somebody reach you? am interested!!!!!!! my contact is 0712568038

Nisamehe kwa hilo,hata hivyo napenda kukuarifu kuwa kijana ameshapatikana.asante kwa kuitikia tangazo langu,nakutakia kila la heri.
 
Back
Top Bottom