sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,171
- 4,295
Ninataka kumfanyia suprise kidogo demu wangu nampenda sana. Ebu ladies niambieni kwa uzoefu wenu wapi nitapata vitu vizuri vya kumfanya ashtuke huyu sista duu.
Nataka kumnunulia sandals fulani classic... necklace na hearings...kimkoba kidogo (ndio anavyopenda) na kingine chochote mnachoona atafurahi.
Kama unaweza tupia kapicha ukinipa maujanja 😊😊