Sasa uniletee maroronya ndiyo iwe surprise! Kama una laki moja mwambie kabisa mama tunakwenda Danube lakini nina laki moja.Alafu wanawake ukimpeleka sehemu umwache achague mnaeeza rudi mmegombana. Wana complications nyingi sana.
Kuna kina sie na kina wale....wengine tunanunua mishikaki, chips kiasi, pilipili kwa wingi na kifuatacho ni fucking with no resting...Usisahau some sexy lingerie and a beautiful perfume.(Tunapenda kunukia classy).
Pia, usipelekee wewe.Tafuta watu wanaofanya delivery then wampelekee ikiwa wrapped with a lovely message(card)from you
Atafurahia ukimkaza vizuri licha ya hayo mavitu unayomnunulia! Usisahau na kumuachia kahela ka uchakavu😅Nnataka kumfanyia suprise kidogo demu wangu nampenda sana.
Ebu ladies niambieni kwa uzoefu wenu wapi nitapata vitu vizuri vya kumfanya ashtuke huyu sista duu.
Nataka kumnunulia sandals fulani classic... necklace na hearings...kimkoba kidogo (ndio anavyopenda) na kingine chochote mnachoona atafurahi.
Kama unaweza tupia kapicha ukinipa maujanja 😊😊
Alikwambia nani hio sentensi inafaa! Mwanaume ukisema una laki moja jua utaenda kumaliza laki 2 na nusu huko Danube 😅😅😅Nilikuwa napenda ile moment ya suprise so nikienda nae sitoiona.
Sasa uniletee maroronya ndiyo iwe surprise! Kama una laki moja mwambie kabisa mama tunakwenda Danube lakini nina laki moja.
Atatamani kila kitu manina budget ya laki utajikuta umetumia 200kNilikuwa napenda ile moment ya suprise so nikienda nae sitoiona.
Alafu wanawake ukimpeleka sehemu umwache achague mnaeeza rudi mmegombana. Wana complications nyingi sana.
Mchukue umpeleke shopping mall achague mwenyewe vitu anavyopenda.
Nilikuwa napenda ile moment ya suprise so nikienda nae sitoiona.
Sasa uniletee maroronya ndiyo iwe surprise! Kama una laki moja mwambie kabisa mama tunakwenda Danube lakini nina laki moja.
Kwamba unaogopa maronya ronya? Sasa wewe kama ni mpenzi wangu lazima kwanza nijue nn hasa unapenda usidhan nitaleta tu zawadi 'kichwa kichwa'[mention]Everglow [/mention] haya soma hap chini
Ndio utajua sipend zawad kwann
Kwamba unaogopa maronya ronya? Sasa wewe kama ni mpenzi wangu lazima kwanza nijue nn hasa unapenda usidhan nitaleta tu zawadi 'kichwa kichwa'
[emoji106]Bas tufupishe tuseme tu bola nisipewe
Kwamba unaogopa maronya ronya? Sasa wewe kama ni mpenzi wangu lazima kwanza nijue nn hasa unapenda usidhan nitaleta tu zawadi 'kichwa kichwa'
Nye nye nyeeeeNasubili perfume