KUNANI PALE TGA
Senior Member
- Feb 6, 2009
- 138
- 7
Tuwaruhusu washushe moja pale Kariakoo
Wonderful! Ila pamoja na uzuri huu wote kila mahali unapokuwa China huwa kuna ka-harufu fulani hivi (wao wameizoea) ... sijui huwa ni ya nini?
Tuwaruhusu washushe moja pale Kariakoo
Mkuu umeona kazi hiyo halafu piga picha ni hii shopping mall yetu ya MLIMANI CITY tunayojidai nayo utagundua we still have a long way to goMh! hawa jamaa noma
pembaAlafu wapemba waende wapi????