Lateni
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 676
- 335
Hey,
Naomba leo tujuzane ni mahali gani hua unanunulia mavazi yako, yani nguo za aina zote, viatu, n.k , ki ukweli nikiwa ninataka kutoka jambo linaloniumiza kichwa ni mavazi ya kuvaa, especially nikiwa na party ya usiku. Kina dada naombeni mnijuze mahali mnapopata viwalo vyenu hasa vya usiku. Wakina kaka nao wanaweza wakafunguka kwa faida ya wakaka wanaotaka kujua maduka mbalimbali ya mavazi yao. Sema ni duka gani na mahali lilipo.
Thanks