Nenda mwenge. Ila mi nashida na poda nzuri au foundation na shida nazo sana ila iwe original nijuzeni pakupatia jamn. Na contact kama itawezekana.
get mac powder au faundation.Nenda mwenge. Ila mi nashida na poda nzuri au foundation na shida nazo sana ila diwe original nijuzeni pakupatia jamn. Na contact kama itawezekana.
Mwenge moja!!
Mwenge
Mwenge ?
Mwenge Icecream ya Coni ?
Kwani wewe H.O.E Unakulaga Coni?
maswali gani hayo J
nisipokula koni nitakula nini tena..........
ndio nakulaga koni ina utamu balaa..........
Hahahaha nikuletee leo tena?
Niletee baba kijacho..........
si unajua huo ndio ugonjwa wangu
Okay Mama Kijacho. On the way