Short Cervix

Short Cervix

afate ushauri wa daktari! apumzike kabisa..muda mwingi atumie kulala ili kufanya mwili na maumbile yake kurudia hali ya kawaida! au kurefusha hyo cervix! APUMZIKE ASIFANYE CHOCHOTE KWA MUDA HUU ULIOBAKIA
 
Jaman ishu kama hizi muulize hukohuko hospitali face to face na daktari wake,mimba siyo kitu cha kuzembeazembea oohoooo shauri zenu
Asante mkuu,
kuna maswali mengine yanarise wakati haupo na dactari hivyo inatulazimu kuuliza kwa wenye ujuz wa mambo hayo anayeweza kupatikana muda huo
 
afate ushauri wa daktari! apumzike kabisa..muda mwingi atumie kulala ili kufanya mwili na maumbile yake kurudia hali ya kawaida! au kurefusha hyo cervix! APUMZIKE ASIFANYE CHOCHOTE KWA MUDA HUU ULIOBAKIA
Thx. tunajitahidi sana apumzike. vipi kuhusu mtoto kuchezea chini? una uelewa wowote?
 
Habari za saa hizi

Mdogo wangu anaujauzito wa miezi 6 sasa ie 25 wks. Mwez huu mwanzoni alicheck kwa utra sound kila kitu kilikuwa sawa na cervix yake ilikuwa 5.1 cm.. after two weeks akatokwa na maji tukampeleka hospital then akaambiwa njia imefunga ila ana cervical shorten to 1.2 cm na kuna threaten abortion akapewa dawa anatumia, na kaambiwa apumzike asisimame mda mrf.
Kitu kingn mtoto anachezea chini kabisa ya tumbo na anaogopa sana lbda mtoto ndio anatoka,, je kuchezea chini sana kuna madhara gan kulinganisha na ilo tatizo lake ka cervix?? na je iyo cervic inaweza kuwa lengthen??
Msaada pls
From your writing sequency,i conclude you are the one and not mudogo yako.Pole.
 
Thx. tunajitahidi sana apumzike. vipi kuhusu mtoto kuchezea chini? una uelewa wowote?
kwa hyo miez sita mtoto hatakiwi kuchezea chini sana..maana muda huo mtoto anakuwa bado hajafikia kuzaliwa kwa ile miez 9 ya kawaida.Kwa maelezo ya dr njia imefunguka kwa maana hyo basi mtoto yuko tayari kutoka japo muda haujafika...kuna uwezekano mkubwa wa kujifungua mtoto pre~mature....Tiba muhimu kwa sasa,tunahitaji mama mjamzito APUMZIKE VYA KUTOSHA ili angalau mimba ifike miez saba
 
Mie si mtaalamu wa mambo ya cervix, ila mdogo wako anatakiwa apewe bed rest 24/7 asifanye shughuli yoyote ile mpaka ajifungue. Yeye na kitanda, kitanda na yeye ili kumnusuru yeye na kiumbe mtarajiwa. Madaktari wengine huamua kumlaza mama mtarajiwa muda wote uliobakia ili kupunguza purukushani za nyumbani hivyo kuhakikisha yuko kitandani kwa muda wote anaotakiwa awe kitandani.

Habari za saa hizi

Mdogo wangu anaujauzito wa miezi 6 sasa ie 25 wks. Mwez huu mwanzoni alicheck kwa utra sound kila kitu kilikuwa sawa na cervix yake ilikuwa 5.1 cm.. after two weeks akatokwa na maji tukampeleka hospital then akaambiwa njia imefunga ila ana cervical shorten to 1.2 cm na kuna threaten abortion akapewa dawa anatumia, na kaambiwa apumzike asisimame mda mrf.
Kitu kingn mtoto anachezea chini kabisa ya tumbo na anaogopa sana lbda mtoto ndio anatoka,, je kuchezea chini sana kuna madhara gan kulinganisha na ilo tatizo lake ka cervix?? na je iyo cervic inaweza kuwa lengthen??
Msaada pls
 
kwa hyo miez sita mtoto hatakiwi kuchezea chini sana..maana muda huo mtoto anakuwa bado hajafikia kuzaliwa kwa ile miez 9 ya kawaida.Kwa maelezo ya dr njia imefunguka kwa maana hyo basi mtoto yuko tayari kutoka japo muda haujafika...kuna uwezekano mkubwa wa kujifungua mtoto pre~mature....Tiba muhimu kwa sasa,tunahitaji mama mjamzito APUMZIKE VYA KUTOSHA ili angalau mimba ifike miez saba
ok thx..
 
Mie si mtaalamu wa mambo ya cervix, ila mdogo wako anatakiwa apewe bed rest 24/7 asifanye shughuli yoyote ile mpaka ajifungue. Yeye na kitanda, kitanda na yeye ili kumnusuru yeye na kiumbe mtarajiwa. Madaktari wengine huamua kumlaza mama mtarajiwa muda wote uliobakia ili kupunguza purukushani za nyumbani hivyo kuhakikisha yuko kitandani kwa muda wote anaotakiwa awe kitandani.
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom